Matokeo Na Msimamo wa ligi kuu Tanzania baada ya mechi ya Jana..


Goli pekee la aliekuwa Mshambuliaji wa klabu ya Kagera Sugar,Mbaraka Yusuph limeibeba Azqm Fc na kuipeleka kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania baada ya Azam kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Kagera Sugar.


Katika mchezo huo Azam alitengeneza nafasi nyingi licha ya kushindwa kuzitumia na kutumia moja tu kati ya zile alizotumia.

Azam inakua klabu ya tatu kuongoza ligi tangu ligi imeanza.


Ili kupata updates kamili kuhusu habari hii na nyinginezo nyingi Download app yetu HAPA bure kufurahia habari kali za michezo kila siku,pia usisite kututumia maoni yako. USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPO CHINI,PIA TUACHIE MAONI YAKO.
NA KWA HABARI YOYOTE YA MICHEZO USISITE KUTUTUMIA KWENYE WHATSAPP NO:0656800588

No comments: