Zimbabwe yaweka rekodi ya kipekee COSAFA yaongoza kwa kutwaa ubingwa huo. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

Zimbabwe yaweka rekodi ya kipekee COSAFA yaongoza kwa kutwaa ubingwa huo.


Timu ya taifa ya Zimbabwe imeibuka mabingwa wa kihistoria wa miachuano ya COSAFA, baada ya kuitandika Zambia goli 3-1 na kuutwaa ubingwa huo kwa mara ya 5 .

Zifuatazo ni picha za matukio ilivyoka uwanjani wakati wa mchezo huo wa fainali.
No comments:

Post Bottom Ad

Pages