Header Ads

Yanga yamtambulisha huyu kuziba nafasi ya Jery Muro.Aliekua msemaji wa Mbeya City "Dismass Ten" ametamburishwa rasimi kua msemaji mpya wa klabu ya Yanga leo katika ofisi za klabu hiyo zilizoko jijini Dar es salaam.

Ten amejiunga na Yanga kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekua msemaji wa kikosi hicho cha wanakijani na Manjano Jery Muro.Muro aliachia nafasi hiyo baada ya kuadhibiwa (kufungiwa ) kutojihusisha na maswala ya soka kwa mwaka mmoja ambapo tayati mro amemaliza kifungo chake.


Hata huvyo Ten akizungumza baada ya kutamburishwa ameanza kwa kuwashukuru klabu ya Mbeya City pamoja naashabimi.

No comments:

Powered by Blogger.