Yanga watoa sare na wakorea mchezo wa kirafiki - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

Yanga watoa sare na wakorea mchezo wa kirafiki


Mchezo wa kirafiki kati ya Yanga SC u20 na Haleluya Fc toka Korea umemalizika kwa kutoka sare ya bila kufungana.

Mchezo huo ambao umepigwa leo mcha katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam ulikua wa aina yake huku ukionekana kua wa siri licha ya klabu hiyo ya mitaa ya jwagwani kuuweka habari juu mchezo huo kupitia mitandak yake ya kijamii.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages