YANGA: Mkwasa kukutana na wanahabari kesho - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 13 July 2017

YANGA: Mkwasa kukutana na wanahabari kesho

Related image
Katibu Mkuu wa Young Africans Sports Club, Charles Boniface Mkwasa kesho atakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari, makao makuu ya klabu Jangwani, Dar es Salaam kuanzia Saa 6:00 mchana.

Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
13/07/2017

No comments:

Post Bottom Ad

Pages