Header Ads

Wanyama amwaha shukurani kwa waliomuwezesha kutwaa tuzo.


Nyota wa timu ya taifa ya Kenya na klabu ya Everton ya pale nchini Uingereza amewashukuru mashabiki wa soka waliompigia kura  zilizo muwezesha kutwaa tuzo ya "OLXKenya soma Awards" tuzo ambayo amepewa kwa kua mchezaji bora wa mwaka.

No comments:

Powered by Blogger.