Wanne wapigwa chini kamati ya Uchaguzi na wengine wateuliwa. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 4 July 2017

Wanne wapigwa chini kamati ya Uchaguzi na wengine wateuliwa.


Baada ya Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kukaa na kufikia uamuzi wa kuwaondoa katika kamati ya uchaguzi wajumbe wanne na kuweka wapya, yafuatayo ni majina ya walioondolewa na wapya.


Wajumbe walioondolewa katika kamati ya uchaguzi ni wafuatao.

1. Juma Lalika
2. Dominated Madeli
3. Jeremiah Wambura
4. Omary HamiduWafuatao ndiyo wajumbe wapya watakaoungana na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili Revocatus Kuuli.

1. Mohammed Mchengela
2. Wakili Malangwe Ally
3. Wakili Kilomoni Kabamba
4. Wakili Deus Kalua

No comments:

Post Bottom Ad

Pages