Usajili:Banega arejea Sevilla kwa mara nyingine.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 3 July 2017

Usajili:Banega arejea Sevilla kwa mara nyingine..


Ever Banega Amejiunga na Klabu ya Sevilla kwa Mkataba wa Miaka Mitatu Akitokea Inter Milan msimu mmoja tu ,tangu alipojiunga na klabu hiyo.

Banega amerejea sevilla akitokea millan alikojiunga msimu uliopita huku akitokea Sevilla aliyoitumikia toka msimu wa 2014-2015.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages