USAJILI LIGI KUU ENGLAND: All deal done - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 6 July 2017

USAJILI LIGI KUU ENGLAND: All deal doneKatika kuelekea  msimu mpya wa ligi kuu England baadhi ya vilabu vimenja benki kwa kufanya usajili. Na huu hapa ni usajili ambao tayari umekwisha kukamilika kwa baadhi ya wachezaji kuingia na wengine kutoka katika baadhi vilabu vikubwa nchini humo.


Afc  Bournemouth

Walioingia


  • Nathan Ake - Chelsea (£20m)
  • Asmir Begovic -Chelsea (£10m)
  • Jermain Defoe -Sunderland (Mchezaji huru)
  • Connor Mahoney -Blackburn (Mchezaji huru)

Walioondoka


  • Callum Buckley -Ameachwa huru
  • Jake McCarthy -Ameachwa huru
  • Matthew Neale -Ameachwa huru


Arsenal

Walioingia
  • Alexandre Lacazette (Lyon) £45m
  • Sead Kolasinac (Schalke) Mchezaji huru


Walioondoka  • Chris Willock (Benfica)Haijawekwa wazi.
  • Takuma Asano (Stuttgart) kwa mkopo.
  • Yaya Sanogo (mchezaji huru)
  • Stefan O'Connor (mchezaji huru)
  • Kristopher da Graca (mchezaji huru)
  • Kostas Pileas (mchezaji huru)


Chelsea

Walioingia


  • Ethan Ampadu (Exeter) Haijawekwa wazi
  • Willy Caballero (Manchester City) mchezaji huruWalioondoka  • Nathan Ake (Bournemouth) £20m
  • Juan Cuadrado (Juventus) £17m
  • Asmir Begovic (Bournemouth) £10m
  • Bertrand Traore (Lyon) £8.8m
  • Christian Atsu (Newcastle) £6.2m
  • Dominic Solanke (Liverpool) mazungumzo yanaendelea
  • Tammy Abraham (Swansea) kwa mkopo
  • Todd Kane (Groningen) kwa mkopo
  • Alex Kiwomya (Doncaster) mchezaji huru
  • John Terry (Aston Villa)mchezaji huru
  • Alex Davey (mchezaji huru)


Everton

Walioingia  • Michael Keane (Burnley) £25m
  • Jordan Pickford (Sunderland) £25m
  • Davy Klaassen (Ajax) £23.6m
  • Henry Onyekuru (Eupen) £7m
  • Sandro Ramirez (Malaga) £5.25m
  • Natangelo Markelo (FC Volendam) haijawekwa wazi


Walioondoka  • Tom Cleverley (Watford) mchezaji huru
  • Delial Brewster (Chesterfield) mchezaji huru
  • Russell Griffiths (Motherwell) mchezaji huru
  • Conor McAleny (Fleetwood) mchezaji huru
  • Henry Onyekuru (Anderlecht) kwa mkopo
  • Arouna Kone (Sivasspor)
  • Jack Bainbridge (mchezaji huru)
  • Michael Donohue (mchezaji huru
  • Tyrone Duffus (mchezaji huru)
  • Connor Hunt (mchezaji huru)
  • Josef Yarney (mchezaji huru)
  • James Yates (mchezaji huru)


Leicester City

Walioingia

  • Harry Maguire (Hull City) £17m
  • Sam Hughes (Chester)haijaweka wazi
Walioondoka

  • Marcin Wasilewski (mchezaji huru)
  • Michael Cain (mchezaji huru)
  • David Domej (mchezaji huru)
  • Brandon Fox (mchezaji huru)
  • Cedric Kipre mchezaji huru)
  • Matty Miles (mchezaji huru)
  • Kairo Mitchell (mchezaji huru)

Liverpool

Walioingia
  • Mohamed Salah (Roma) £34m
  • Dominic Solanke (Chelsea) mazungumzi yanaendelea
Walioondoka
  • Andre Wisdom (Derby) haijawekwa wazi
  • Tom Brewitt (mchezaji huru)
  • Jake Brimmer (mchezaji huru)

  • Jack Dunn (mchezaji huru)
  • Madger Gomes (mchezaji huru)
  • Kane Lewis (mchezaji huru)
  • Adam Phillips (mchezaji huru)
  • Alex Manninger (mchezaji huru)


Manchester City

Walioingia

  • Bernardo Silva (AS Monaco) £43m
  • Ederson (Benfica) £34.7m

Walioondoka
  • Aaron Mooy (Huddersfield) £8m
  • Enes Unal (Villarreal) haijawekwa wazi
  • Angus Gunn (Norwich) kwa mkopo
  • Pablo Zabaleta (Man City) Mchezaji huru
  • Willy Caballero (Chelsea) mchezaji huru
  • Ashley Smith-Brown (Hearts) kwa mkopo
  • Bersant Celina (Ipswich) kwa mkopo
  • Jesus Navas (mchezaji huru)
  • Bacary Sagna (mchezaji huru)
  • Gael Clichy (mchezaji huru)
  • Callum Bullock (mchezaji huru)
  • Thomas O'Brien (mchezaji huru)
  • Kane Plummer (mchezaji huru)


Manchester United

Walioingia
  • Victor Lindelof (Benfica) £31m

Walioondoka
  • Josh Harrop (Preston) haijawekwa wazi
  • Zlatan Ibrahimovic (mchezaji huru)
  • Tottenham Hotspur

No comments:

Post Bottom Ad

Pages