Usajili: Hizi hapa habari kubwa kwenye Usajili jioni.All deal done. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 15 July 2017

Usajili: Hizi hapa habari kubwa kwenye Usajili jioni.All deal done.

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLDKlabu ya Chelsea Imekamilisha Usajili wa Kiungo Tiemoue Bakayoko Kutoka Ac Monaco kwa Ada ya £40 kwa Mkataba wa Miaka 5.Klabu ya Manchester city Imetangaza Kumsajili Kiungo Douglas Luiz kutoka Vasco Da Gama Kwa Ada ya Pauni £10M kwa Mkataba wa Miaka Mitano. 

Klabu ya Aston Villa Imemtangaza John Terry kuwa Nahodha wa Klabu hiyo.


No comments:

Post Bottom Ad

Pages