Ujumbe wa Ajibu ambao unaweza kua dongo kwa upande fulani - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 17 July 2017

Ujumbe wa Ajibu ambao unaweza kua dongo kwa upande fulani

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLD


Tangu alipojiunga na klabu ya Yanga mshambuliaji Ibrahim Ajib amekua akitoa misamiati mbalimbali ambayo baadhi ya wapenzi na mashabiki wa kandanda wamekua wakiyachukulia kama madongo kwa klabu yake ya zamani ya Simba.

Hata hivyo baadhi ya mashabiki wakwenda mbali na kuuzungumzia usajili wa  Ajibu kwa sura tifauti huku wakihusisha na mapenzi ya dhati ya mchezaji huyo kwa klabu.

Leo katika pitapita katika mitandao mbalimbali nikakutana na ujumbe huu kutoka kwa mchezaji huyo.:-

No comments:

Post Bottom Ad

Pages