Header Ads

Torres aongeza mkataba wa kuitumikia Atletico Madrid


Mshambuliaji wa Atletico Madrid Fernando Torres Amesaini Mkataba Mpya wa Mwaka Mmoja kuitumikia klabu hiyo. 

Hayo yamethibitishwa na Torres mwenyewe kupitia akaunti yake ya twitter pale alipoandika post yenye kuonye kufurahishwa na nyongeza hiyo ya mkataba.

No comments:

Powered by Blogger.