Tff yamtangaza Kirai kukaimu nafasi ya Uraisi wa shirikisho hilo. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 1 July 2017

Tff yamtangaza Kirai kukaimu nafasi ya Uraisi wa shirikisho hilo.


Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limemtangaza Wares karia kuwa kaimu wa Rais wa shirikisho hilo mpaka kiongozi mkuu  Jamal Malinzi na katibu Mwesigwa Celestine kesi yao itakapo malizika.mfano Kesi ikimalizika Juma tatu au siku yeyote basi  Karia itakuwa mwisho wa jukumu Hilo. pia Salum Madadi ametangazwa kuwa kaimu katibu mkuu ili shughuli za Tff ziweze kuendelea. Aliyetakaza maamuzi hayo ni Salum Madadi.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages