Tetesi za usajili ulaya asubuhi ya july 17 - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 17 July 2017

Tetesi za usajili ulaya asubuhi ya july 17

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLD Theo Walcott Arsenal Premier League

Everton wanaandaa dau la paundi milioni 30 kwa ajili ya mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcott, kwa mujibu wa  Sunday People .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza hana uhakika wa namba kikosi cha kwanza Arsenal na Ronald Koeman anatamani kumsajili kuongeza nguvu kwenye kikosi chake.

 Marco Verratti Italy 06042017

Barcelona wapo tayari kutoa ofa ya euro milioni 65 pamoja na Ivan Rakitic ili kumpata Marco Verratti kutoka PSG majira ya joto, kwa mujibu wa  Calciomercato .
Unai Emery, kocha wa PSG ameshawahi kufanya kazi na Rakitic Sevilla na klabu hiyo inaweza kushawishika kwa sababu hiyo
 Sergio Aguero Manchester City FA Cup


Chelsea inaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, kwa mujibu wa mwandish wa AS Manu Sainz .
Bosi wa City Pep Guardiola anaaminika kuwa tayari kuruhusu dili hilo kufanyika ingawa makubaliano baina ya klabu hizo mbili hayajafikiwa.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages