TANZIA: Mtangazaji wa EFM afariki dunia - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

TANZIA: Mtangazaji wa EFM afariki dunia


Mtangazaji wa EFM Seth Katende maarufu "Bikira wa Kisukuma" amefariki dunia ktk hosp ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Taa imezima mapema. Taa niliyoifahamu kwa muda mrefu. Taa ambayo sidhani kama ilishawaka vyakutosha au ilishapata pakuwakia maana niliyafahamu mafuta yakiyokuwa ndani yataa hii. All in all, tutakukumbuka sana rafiki yetu. RIP  Seth Katende a.k.a @bikirawakisukuma.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages