TAARIFA KWA WACHEZAJI WOTE WA ZAMANI WA YANGA SC - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 13 July 2017

TAARIFA KWA WACHEZAJI WOTE WA ZAMANI WA YANGA SC


Image result for CLEMENT SANGA
Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans Sports Club,Clement Sanga jumamosi atakuwa na mkutano na Wachezaji wote wa Zamani wa Yanga SC bila kujali mwaka aliocheza, makao makuu ya klabu Jangwani, Dar es Salaam kuanzia Saa 6:00 mchana.

Imetolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano.
Young Africans Sports Club.
13/07/2017

No comments:

Post Bottom Ad

Pages