Straika mpya wa kimataifa wa Singida United atwaa tuzo ya ufungaji bora. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 10 July 2017

Straika mpya wa kimataifa wa Singida United atwaa tuzo ya ufungaji bora.Mchezaji wa kimataifa ambae amesajiliwa na kikosi cha Singida United Danny_usengimana ametwaa tuzo ya mfungaji bora kwa mara ya pili katika ligi kuu nchini Rwanda.

Dany ametwaa tuzo hiyo baada ya kuifungia timu yake aliyokua akiitumikia ya Police FC goli 19.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages