TANZANIA YAPAA VIWANGO YA FIFA YAZIPUMULIA NCHI 100 BORA ULIMWENGUNI - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 6 July 2017

TANZANIA YAPAA VIWANGO YA FIFA YAZIPUMULIA NCHI 100 BORA ULIMWENGUNITanzania imepanda katika viwango vya ubora vya FIFA na kuzisogelea kwa karibu kabisa zile timu 100 bora.

Tanzaniaambayo timu yake ya taifa iko nchini Afrika ya kusini katika kushiriki michuano ya COSAFA imepaa kutoka nafasi ya 139 hadi kufikia nafasi ya 114 ikiwa ni nafasi 25 huku ikiwatupa nyuma nchi za Niger,Equatorial Guinea, Arfika Ya kati, Burundi na Rwana.

Hata hivyo orodha hiyo iliyotoka leo kwa Afrika inaongozwa na nchi ya Misiri huku ikifuatiwa na Senagar,Congo dr,Tunisiana Cameroon.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages