Simbà yamsaini huyu kutoka Mtibwa Sugar - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

Simbà yamsaini huyu kutoka Mtibwa Sugar


Katika kuendelea na vuguvugu la usajili ikiwa ni moja ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara,klabu ya Simba SC imemsajili beki Salim Mbonde kutoka Mtibwa Sugar kwa kandarasi ya miaka 2. 

Mbonde ambae ametua nchini usiku wa kuamkia leo akitokea Afarika ya kusini na kikosi cha timu ya taifa ambako alikua akiwana wachezaji wenzake wakiitumikia timu ya taifa.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages