Simba yaachana na Mayanja kumfuata huyu - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

Simba yaachana na Mayanja kumfuata huyu


Klabu ya Simba imeamua kuachana na Kocha wake Msaidizi, Jackson Mayanga.

Taarifa za ndani zinaeleza Simba tayari imeanza mazungumzo na kocha mwingine.

“Atakuwa kocha kutoka Burundi na kuna kiongozi alishaanza kuzungumza naye,” kilieleza chanzo cha habari.

Mayanja raia wa Uganda alijiunga na Simba akitokea Coastal Union ya Tanga na kuwa kocha mkuu wa muda.

Lakini baadaye Simba ilimtwaa Joseph Omog kutoka Cameroon na Mayanja akawa kocha msaidizi.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages