Samatta atangazwa kua balozi wa wenye ulemavu wa ngozi. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 7 July 2017

Samatta atangazwa kua balozi wa wenye ulemavu wa ngozi.


Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta ametangazwa kuwa balozi wa watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania (Albino) .

Samatta ambae anaitumikia klabu ya Genk ya nchini Uberigiji,siku za hivi karibuni amekua akiaminiwa na kampuni tofauti tofauti ambapo siku kadhaa zilizopita alitangazwa kua balozi wa benki mojawapo ambayo ni moja wa wadhamini wa ligi kuu Tanzania bara.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages