Ratiba ya Ligi kuu Tanzania bara yatoka,sasa mbwembwe za Singida United kuhamia uwanjani ,wao kuanza na klabu huu.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 12 July 2017

Ratiba ya Ligi kuu Tanzania bara yatoka,sasa mbwembwe za Singida United kuhamia uwanjani ,wao kuanza na klabu huu..


Msimu wa ligi kuu Tanzania bara umewekwa wazi mechi za ufunguzi za ligi hiyo zimewekwa wazi ambapo wageni wenye makeke katika ligi hiyo klabu ya Singida United itaanza kwa kushuka dimbani ugenini kuivaa klabu ya Mwadui Fc huku wageni wenzake Njombe mji Fc kuanzia nyumbani dhidi ya Prisons ya Mbeya.
Hizi hapa me
Jumamosi , Tarehe 26 , October , 2017
Ndanda FC VS Azam FC
Mwadui FC  VS Singida
Mtibwa Sugar VS Stand United
Simba SC VS Ruvu Shooting
Kagera Sugar VS Mbao FC
Njombe Mji VS Prisons
Mbeya City VS Majimaji

Jumapili , Tarehe 27 , October , 2017
Yanga SC VS Lipuli FC

No comments:

Post Bottom Ad

Pages