Rasmi mali ya Juve.! - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 13 July 2017

Rasmi mali ya Juve.!Juventus wamethibitisha usajili wa Douglas Costa  kutoka Bayern Munich.

Mbrazil huyo ametua kwa uhamisho wa mkopo wa awali ukiwa na kipengele cha kumnunua baada ya mkopo kuisha.

Juve wamelipa pauni milioni 5.3 kwa mkopo huo na wanatakiwa kutumia kipengele cha kumnunua moja kwa moja kabla ya Juni 30 mwaka 2018 kwa pauni milioni 35.

Na ada hiyo huenda ikaongezeka kwa pauni 890,000 kutokana na kiwango atakachoonyesha .

No comments:

Post Bottom Ad

Pages