Post ya Ander Herrera baada ya Rooney kuondoka Manchester united. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

Post ya Ander Herrera baada ya Rooney kuondoka Manchester united.


Baada ya nyota na nahodha wa zamani wa klabu ya Manchester united,Wayne Rooney kusaini mkataba na klabu ya Everton mchezaji mwenzake wa Manchester united ameandika kupitia ukurasa wake wa twitter huku akionyesha kua atammkumbuka nyota huyo.

Herrera ameandika ujumbe usemao "Siku moja nitakua na uwezo wa kumwambia mwanangu  niliwahi kucheza na wewe. " Ubarikiwe na Shukrani.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages