Nyota mwingine Stars kuikosa Afrika kusini leo... - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 2 July 2017

Nyota mwingine Stars kuikosa Afrika kusini leo...


Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbaraka Yusuph ataukosa mchezo wa leo dhidi ya wenyeji Afrika Kusini kutokana na kuwa majeruhi. 


Mbaraka alipata majeraha hayo akiwa mazoezini kujiandaa na mchezo wa leo dhidi ya wenyeji hao Afrika ya Kusini.


Stars itashuka dimbani leo huko nchini Afrika ya Kusini kumenyana na wenyeji Katika mchezo wa robo fainali ya michuano ya COSAFA Mchezo utakao anza mishale ya saa 12:00 jioni. 

No comments:

Post Bottom Ad

Pages