Ndoto za wanajangwani kwa huyu mchezaji za fifia - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Saturday, 15 July 2017

Ndoto za wanajangwani kwa huyu mchezaji za fifia

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLD

Matumaini ya wapenzi na mashabiki wa klabu ya Yanga yanaonekana kufifia baada ya nyota waliekua wakitegemea huenda angesajiliwa na klabu ya kutajwa kutimkia nchini Misri.

Nyota huyo raia wa Burkina Faso "Alistide Bance" amehusishwa na kujiunga na klabu ya Al Masry  na tayari taratibu zote za uhamisho zimekwisha kamilika.

Endapo Bance atafanikiwa kujiunga na klabu hiyo basi itakua ni klabu ya 20 katika miaka 18 aliyovheza mpira.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages