Header Ads

Mpya kuhusu Costa.


Sky Sports wamearifu kwamba hakuna mlango wa kurudia kwa Diego Costa katika klabu ya Chelsea.

Wameambiwa," ameshakwisha Chelsea na ameshacheza mechi yake ya mwisho."

Anataka kubaki, lakini amekubali kwamba hana maisha tena Chelsea. Ametofautiana na Conte na Conte ameona kwamba inatosha.

Uhamisho tarajiwa wa mshambuliaji huyo kutua Atletico Madrid upo kwenye mazungumzo kwa sasa.

No comments:

Powered by Blogger.