Mo Ibrahim afunguka haya kuhusu mstakabari wake Simba msimu ujao. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 13 July 2017

Mo Ibrahim afunguka haya kuhusu mstakabari wake Simba msimu ujao.

 
 Kiungo wa klabu ya Simba amezungumzia maandalizi na matazamio yake ya namna atakavyo itumikia timu yake katuika msimu mpya wa 2017/2018.

"Simba ni klabu kubwa siwezi kucheza bila kujihoji kujua nilichokifanya kama kilikuwa na mantiki au la,kwani nina malengo yangu sichezi ili mladi," alisema
Kiungo huyo alisema amedhamiria kufanya kitu kipya msimu unaokuja, kitakachoonyesha ubora wa kazi zake kwamba zina mtazamo wa mbali.
"Kama mnavyojua Simba, imesajili kwa kasi nikimanisha kwamba ushindani utaanza kwetu wachezaji ambao utaleta manufaa kwenye timu,hilo linanifanya nijifue vya kutosha." 

No comments:

Post Bottom Ad

Pages