Mlinda mlango wa Manchester United Sergio Romero ameongeza kandarasi kuendelea kuitumikia klabu hiyo. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 17 July 2017

Mlinda mlango wa Manchester United Sergio Romero ameongeza kandarasi kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLDKipa namba mbili wa klabu ya Manchester United Sergio Romero amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo mpaka 2021.
Romero, mwenye umri wa miaka 30, alijiunga na mashetani wekundu wa Old Traford mwaka 2015 akitokea timu ya Sampdoria.
Kipa huyu namba moja wa timu ya taifa ya Argentina amecheza michezo 28 katika misimu miwili aliyoichezea timu yake na katika michezo hiyo ni michezo sita tu aliyocheza katika ligi kuu ya England.
Tetesi za golikipa namba moja wa Man United, David De Ge kuwa anaweza kusajiliwa na Real Madrid, huenda zikawa zimechangia kwa kipa huyu kuongeza mkataba mpya.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages