Messi kitanzini Barcelona. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 5 July 2017

Messi kitanzini Barcelona.Lionel Messi ameongeza mkataba mpya wa miaka Minne na FC Barcelona ukiwa na mshahara wa Pound laki tano kwa wiki.
Mshambuliaji nyota wa klabu ya Barcelona Lionel Messi amekubali kutia saini mkataba mpya ambao utamuweka katika klabu hiyo hadi 2021.
Messi, 30, alijiunga na klabu ya Barca akiwa na miaka 13. Mchezaji huyo anatarajiwa kutia saini mkataba huo atakaporejea kushiriki mazoezi.
Messi alifunga ndoa mwishoni mwa wiki mjini Rosario, Argentina.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages