Mayanga kukutana na wanahabari - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 10 July 2017

Mayanga kukutana na wanahabariTAARIFA KWA WANAHABARI

Salaam. Leo Jumatatu Julai 10, 2017, Kocha Mkuu wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, Salum Shabani Mayanga atazungumza na waandishi wa Habari. Pia maofisa wa Serengeti watakuwako sambamba kabisa na baadhi ya wachezaji wakiongozwa na Nahodha wa michuano ya CHAN, Himid Mao Mkami. Karibu sana.

Muda: Saa 5:00 asubuhi  (11H00)

Mahali: Ukumbi wa Hosteli za TFF.

Muhimu ni kuzingatia muda  kwa sababu, timu inasafiri kwenda Mwanza baadaye.

Alfred Lucas
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF
0769 088 111

No comments:

Post Bottom Ad

Pages