Matokeo:Real Salt Lake vs Manchester United - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 18 July 2017

Matokeo:Real Salt Lake vs Manchester United

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLD

Timu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Real Salt Lake katika mchezo wa kirafiki uliofanyika huko nchini Marekani. mabao ya timu hiyo yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan na Romelu Lukaku huku goli la Real Salt Lake likifungwa na Luis Silva.
Wahispania wa Sevilla imeichapa Cerezo Osaka ya Japan kwa mabao 3-1,Wolfsburg wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Hansa Rostock
Sturm Graz na West Ham United wametoshana nguvu kwa sare ya bila kufungana .Real Union wamelala kwa kufungwa 3-1na Eibar.
Athletic Bilbao nao Fenerbahce nao wametoshana nguvu kwa mchezo kumalizika kwa sare ya bila bila.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages