Header Ads

Full Time: Tanzania vs Rwanda

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLD
Dakika 90 za mchezo kati ya Tanzania dhidi ya Rwanda zimemalizika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu kwa sare ya goli 1-1 ambapo goli la Rwanda limepachikwa kimiani na Dominique Savio Shuti na Tanzania kusawazisha kwa mkwaju wa penati.No comments:

Powered by Blogger.