Header Ads

Manchester united yameivaManchester United imethibitisha katika mitandao yao yote ya kijamii ya facebook, twitter na instagram kwamba imekubaliana na Everton kumsajili Romelu Lukaku.

Taarifa imetoka lisaa limoja lililopita. Pichani ni official facebook page ya Manchester United

No comments:

Powered by Blogger.