Makonda atoa tamko kwa alie vamia uwanjani na kumkumbatia Rooney. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 14 July 2017

Makonda atoa tamko kwa alie vamia uwanjani na kumkumbatia Rooney.

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KUDOWNLOADJioni ya july 13 katika uwanja wa taufa kulikua na mtanange wa kukata na shoka kati ya klabu kutokea nchini Uingereza "Everton" dhidi ya klabu kutokea nchini Kenya "Gor Mahia" mchezo ambao uliaandaliwa maalumu na kampuni ya michezo ya bahatinasibu "Betting" ya SPORTPESA.
Katika mchezo huo ulikua umejaa ufundi na nidhamu ya soka kwa kila timu ulimalizika kwa klabu ya Everton kuibuka na ushindi wa goli 2-1 dhidi ya Gor mahia.
Kilicho washangaza wapenzi wa soka ni pale ambapo shabiki mmoja  alipovamia uwanjani na kumkumbatia Rooney na jeshi la porisi kufanya kazi yake kwa kumuondoa uwanjani pale.

Lakini jambo lisilotegemeawa kauri kutoka kwa mkuu wa mkoa Dar es salaam "Paul Makonda" ikawataka porisi kumuachia huru shabiki yule.

Baadhi ya picha kutoka uwanja wa Taifa.
No comments:

Post Bottom Ad

Pages