Magoli manne(4) yazipeleka Zambia na Zimbabwe fainali ya COSAFA. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 6 July 2017

Magoli manne(4) yazipeleka Zambia na Zimbabwe fainali ya COSAFA.


Ushindi wa goli 4-2 ilioupata timu ya taifa ya Zambia dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania umepeleka moja kwa moja katika kucheza fainali ya michuano ha COSAFA dhidi ya  timu ya taifa ya Zimbabwe.

Zimbabwe iliyoinyuka timu ya taifa ya Lesotho kwa idadi sawa na zambia kwa Tanzania licha ya Lesotho kuonyesha jitihada na kurejesha magoli matatu,iliingia fainali kwa ushindi wa goli 4-3 na hivyo kuzifanya timu za Lesotho na Tanzania kukutana tena.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages