Kiuongo wa Zamani Simba atwaa tuzo ya mchezaji bora Rwanda - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 10 July 2017

Kiuongo wa Zamani Simba atwaa tuzo ya mchezaji bora Rwanda


Kiungo wa zamani wa Klabu ya Simba, Pierre Kwizera amebeba tuzo ya mwanasoka bora nchini Rwanda kwa msimu huu ikiwa na mara mbili mfululizo.
Pierre Kwizera akikabidhiwa tuzo ya mchezaji bora nchini Rwanda

Kwizera ambaye anakipiga kunako klabu ya Rayon Sports alitemwa na Simba SC kwa kile walichokidai kuwa mchezaji huyo ameshuka kiwango.

Mrundi huyo ambaye kwa msimu uliopita 2016/17 ametupia magoli 11 amekuwa moto wa kuotea mbali hii ni kutokana na mchango mkubwa wa utoaji pasi za mwisho zilizoipelekea klabu yake ya Rayon kuzima utawala wa klabu ya APR uliodumu kwa muda mrefu.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages