Kiungo wa zamani wa Simba na Yanga atua rasimi Mbeya City - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Tuesday, 18 July 2017

Kiungo wa zamani wa Simba na Yanga atua rasimi Mbeya City

Ungana nasi kila siku kwa habari mbalimbali za michezo kitaifa na kimataifa ,tetesi mbalimbali za Usajili bila kusahau magazeti kila siku kwa kudownload application yetu leo.BOFYA HAPA KKUDOWNLD
Kiungo wa zamani wa klabu ya Simba sc Bakari Masoud amejiunga na Klabu ya Mbeya City kwa mkataba wa miaka Miwili na kaelekea moja kwa moja katika kambi ya kikosi hicho cha Mbeya City.


Kiungo huyo amejiunga akiwa ni mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake, hata hivyo jina Bakari halikua jina kubwa saana kwani alikua na nafasi ndogo kuweza kukitumikia kikosi chake na jina lake lilianza kusikika pale alipoichezea Simba katika mashindano ya Sportpesa yaliyofikia kikomo hivi karibuni Jijini Dar es Salaam na Mshindi wa mashindano hayo akiwa ni Gor Mahia kutoka nchini Kenya.


Licha ya Simba Bakari Masoud amewahi kucheza timu nyingi hapa Tanzania na Nje kama Afrikan Sports, Yanga Sc, Coastal Unioni, PERM FC ya Malaysia, Fanja FC ya Oman na Free State ya Afrika Kusini japokuwa alikuwa kikosi cha pili

Like PAGE yetu ya FACEBOOK Bofya 👉HAPA uwe wa kwanza kupata habari zetu.
Jiunge na Group letu la  WHATSAPP kwa kubofya HAPA .
Kupata habariđź“°zetu Bure kila siku Download✅ Application yetu Bure👉GUSA HAPA pia usikose kutufatilia kila siku.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages