Kaburu ajiondoa mbio za Urais TFF - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 2 July 2017

Kaburu ajiondoa mbio za Urais TFF


Makamu Rais wa klabu ya Simba,Geoffrey Nyange Kaburu ambae alichukua fomu ya kugombea nafasi kama hiyo katika shirikisho la soka nchini TFF ametangaza kujitoa katika mbio za uchaguzi wa shirikisho hilo.

Kaburu ambae kwa sasa yuko rumande pamoja na viongozi wawili wa TFF pamoja na raisi wa klabu ya Simba "Evans Aveva" ameandika barua ya kujiondoa katika kinyang'anyilo hicho kwenda kwenye kamati ya  Uchaguzi ya shirikisho hilo akiweka bayana kujiengua kwake.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages