Je wajua Gor Mahia ilishawahi kucheza na timu ya ligi kuu England? Fahamu hapa.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 2 July 2017

Je wajua Gor Mahia ilishawahi kucheza na timu ya ligi kuu England? Fahamu hapa..Klabu ya Gor Mahia itashuka dimbani tar 13 mwezi huu kumenyana na klabu ya Everton kutoka pale nchini Uingereza.

Klabu hiyo ya Gor Mahia sio kwamba ni mara yake ya kwanza kukutana na klabu kutoka nchini Uingereza kwani mnamo mwaka 1975 iliwahi kucheza mchezo wa kirafiki na klabu ya Norwich City ya nchini humo.

Katika Mchezo huo uliokua wa kirafiki klabu ya Gor mahia iliibuka kidedea kwa kutoa kipigo cha goli 4-2 ....

No comments:

Post Bottom Ad

Pages