Habari za Usajili Manchester United - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 3 July 2017

Habari za Usajili Manchester United


Manchester United wameripotiwa kumsaini Kinda wa Kibelgiji Largie Ramazani (16) ambaye anacheza nafasi ya Ushambuliaji, Ramazan amesaini miaka 4 hii ni kulingana na Mkongwe  Na Mfatiliaji wa soka la Ubelgiji Kristof Terreur, Kristof alitweet  "Largie Ramazani, a 16y old Belgian/Burundian striker, has signed a four-year deal with Manchester United. #cafc #mufc"

Toleo la Don Balon la huko Hispania limeandika Madrid wataingia katika mazungumzo na Kipa wa United David De Gea mara tu deal la Morata Litakapokamilika Kujiunga Manchester United.

Lakini Kupitia The Express wameandika kuwa Manchester United huenda wakamsaini Joe Hart mara baada ya kocha wa Man city Pep Guardiola kusema hana Tatizo kumwachia Hart Kujiunga United,  Ndugu msomaji wa Kwata Unit Blog Hii Inakuja mara baada ya Madrid Kuonekana wanakazia suala la kumsaini De Gea.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages