Habari pichà mchezo wa kutafuta mshindi wa tano 5 COSAFA kati ya Afrika kusini na Namibia - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 7 July 2017

Habari pichà mchezo wa kutafuta mshindi wa tano 5 COSAFA kati ya Afrika kusini na Namibia


 Judas Moseamedi wa Africa ya Kusini akijaribu kumtoka  Wangu Gome wa Namibia

Judas Moseamedi wa Africa kusini akiwatoka  Wangu Gome na Horaed Larry wa Namibia 


Judas Moseamedi wa Africa kusini akimtoka  Roger Katjiteo wa  Namibia 


Lehlogonolo Masalesa wa  Africa kusini akimponyoka  Itamunua Keimuine wa Namibia
Tercious Malepe wa Africa kusini akipewa changamoto na  Wangu Gome wa  Namibia Hata hivyo katika mchezo huo Afika Kusini imeibuka kidedea kwa kuinyuka goli 1 - 0 

No comments:

Post Bottom Ad

Pages