Header Ads

Everton watua Tanzania huku wakiambatana na Rooney


Klabu ya Everton imewasili nchini Tanzania leo asubuhi tayari kwa mechi ya kesho dhidi ya Gor Mahia, Uwanja wa Taifa-Dsm .
Everton watamenyana na Gor Mahia katika mchezo maalumu ulioandaliwa na kampuni ya SportPesa .


Pia katika kikosi hicho amekuja na nahodha wa zamani wa Manchester United  Wyne Roney.

No comments:

Powered by Blogger.