Dili limebuma.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 7 July 2017

Dili limebuma..Riyad Mahrez anatarajiwa kuanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya leo Ijumaa akiwa na Leicester  hasa baada ya Arsenal kutokuwa tayari kulipa kiasi cha pauni milioni 50.

Mahrez aliwasilisha barua ya kutaka kuondoka King Power kwa uongozi wa klabu hiyo mwaka mmoja baada ya kuonyesha kiwango cha hali ya juu kwa kuweka kambani magoli 17 na kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka huku akiisaidia Leicester kutwaa taji la EPL.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages