Deal Done: Rasimi Wayne Rooney arejea Everton - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Sunday, 9 July 2017

Deal Done: Rasimi Wayne Rooney arejea Everton


DEAL DONE:klabu ya  Everton imefanimiwa kumrejesha nyumbani nyota wake wa zamani Wayne Rooney kutokea Manchester United kwa kandarasi ya miaka miwili (2) .


Roney ambae alijiunga na Manchester United toka mwaka 2004 akitokea Everton amefanikiwa kurejea katika klabu yake ya awali ikiwa ni miaka 13 tangu aondoke klabuni humo.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages