Deal done: Lacazette amwaga wino Emirates.. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 5 July 2017

Deal done: Lacazette amwaga wino Emirates..


Arsenal imekamililisha uhamisho wa mshambuliaji Alexandre Lacazette kutoka Lyon ya Ufaransa kwa mkataba wa muda mrefu.

Hata hivyo Kocha mkuu wa klabu hiyo mzee Arsene Wenger amesema "Tunayo furaha kubwa kuungana na Alexandre katika kundi letu,ametuonyesha kua anaweza kua mfungaji mzuri kwa mwaka na pia ametuonyesha kua anaweza kua mmaliziaji bora kulingana na ubora na Uimara alikuepo nao."

Hata hivyo Arsenal ipo mboni kuzinyakua saini za nyota wengine kadha wa kadha akiwemo nyota kutoka AS Monaco" Kylan Mbape" pamoja na yule wa Receiester city "Riyadh Mahrez".

No comments:

Post Bottom Ad

Pages