Deal Done: Ajibu kiroho safi Jangwani... - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Wednesday, 5 July 2017

Deal Done: Ajibu kiroho safi Jangwani...

Alie kua mshambuliaji wa klabu ya simba IbrahimAjib "Migomba" ameadondosha wino kwenye karatasi za klabu ya Yanga wiki kadhaa baada ya kuripotiwa kuondoka simba.Migomba ambae ataitumikia klabu hiyo ya mitaa ya Twiga na Jangwani atakua akipigilia uzi namba 10 uzi ambao alikua akiuvaa nyota wake Mateo Anthony

Image may contain: 2 people, people smiling, people standing

No comments:

Post Bottom Ad

Pages