Arsenal yamsajili straika mpya saa 24 baada ya Lacazette - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Thursday, 6 July 2017

Arsenal yamsajili straika mpya saa 24 baada ya Lacazette

Download application yetu ikiyopo playstore au bofya hapa Saa kadhaa baada ya klabu ya Arsenal kutangaza kumsaini nyota wa klabu ya Lyon ya nchini Ufaransa jioni hii imetangaza kumnasa Straika mwingine mpya.

 Kwa mujibu wa chanzo cha ripoti ambacho ni mtandao wa 90min.com umearifu kua Arsenal  imemsainisha mkataba wa  miaka miwili mchezaji Jordan McEneff.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages