Arsenal yaanza ziara rasimi,hiki hapa kikosi kilicho kwea pipa - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Monday, 10 July 2017

Arsenal yaanza ziara rasimi,hiki hapa kikosi kilicho kwea pipa

Travelling squad
Petr Cech (GK)
Emi Martinez (GK)
David Ospina (GK)
Krystian Bielik
Cohen Bramall
Francis Coquelin
Mohamed Elneny
Olivier Giroud
Alex Iwobi
Sead Kolasinac
Laurent Koscielny
Alexandre Lacazette
Ainsley Maitland-Niles
Donyell Malen
Per Mertesacker
Nacho Monreal
Reiss Nelson
Eddie Nketiah
Alex Oxlade-Chamberlain
Mesut Ozil
Aaron Ramsey 
Theo Walcott
Danny Welbeck
Joe Willock
Granit Xhaka

Read more at https://www.arsenal.com/news/travelling-squad-tour-announced#ZTDec8TCI5DzCVUH.99


Kikosicha wachezaji 25 kilichotajwa siku kadhaa zilizopitia kimeondoka jijini London usiku huu kuelekea jijini Beijing nchini China kwaajili ya ziara ya klabu ya Arsenal ambayo ni moja ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu nchini England.


Kikosi hicho kimeondoka London usiku wa jumapili na kinatazamiwa kuwasili siku ya jumanne alfajiri.


Katika safari hiyo kikosi hicho kinatazamia kua na michezo minne ambapo miwili itachezwa Sydney dhidi ya Sydney FC siku ya Alhamisi july 13 na Sydney ya magaribi Wanderers siku ya jumamosi tare 15 mwesi huu.

Baada ya hapo klabu itaelekea China katika mji wa Shanghai ambako itacjeza na klabu ya Bayern Munich mchezo utakaochezwa siku ya jtano,July 19,kabra hakijaeleka Bein ng kumyenyana na klabu bingwanchibi hu mo Chelsea mchezo utakaopigwa siku ya jumamosi tare 22.
in Sydney, against local sides Sydney FC on Thursday, July 13 and Western Sydney Wanderers on Saturday, July 15
Read more at https://www.arsenal.com/news/travelling-squad-tour-announced#ZTDec8TCI5DzCVUH


Hata hivyo katika kikosi hicho wamejumuishwa nyota wake wapya wawili waliosajiliwa hivi karibuni ambao ni Sead Kolasinac na Alexandre Lacazette ambao ni ingizo jipya katika kikksi cja mzee Arsene Wenger.

Kikosi hicho kimesheheni  wachezaji ambao ni 
Travelling squad
Petr Cech (GK)
Emi Martinez (GK)
David Ospina (GK)
Krystian Bielik
Cohen Bramall
Francis Coquelin
Mohamed Elneny
Olivier Giroud
Alex Iwobi
Sead Kolasinac
Laurent Koscielny
Alexandre Lacazette
Ainsley Maitland-Niles
Donyell Malen
Per Mertesacker
Nacho Monreal
Reiss Nelson
Eddie Nketiah
Alex Oxlade-Chamberlain
Mesut Ozil
Aaron Ramsey 
Theo Walcott
Danny Welbeck
Joe Willock
Granit Xhaka

Read more at https://www.arsenal.com/news/travelling-squad-tour-announced#ZTDec8TCI5DzCVUH.99

 1. Petr Cech (GK)
 2. Emi Martinez (GK)
 3. David Ospina (GK)
 4. Krystian Bielik
 5. Cohen Bramall
 6. Francis Coquelin
 7. Mohamed Elneny
 8. Olivier Giroud
 9. Alex Iwobi
 10. Sead Kolasinac
 11. Laurent Koscielny
 12. Alexandre Lacazette
 13. Ainsley Maitland-Niles
 14. Donyell Malen
 15. Per Mertesacker
 16. Nacho Monreal
 17. Reiss Nelson
 18. Eddie Nketiah
 19. Alex Oxlade-Chamberlain
 20. Mesut Ozil
 21. Aaron Ramsey 
 22. Theo Walcott
 23. Danny Welbeck
 24. Joe Willock
 25. Granit Xhaka


No comments:

Post Bottom Ad

Pages