Ameanza kaxi atupia goli katika mchezo wake wa kwanza. - VYANKENDE.COM

Breaking

Post Top Ad

Millionaire  Ads

Friday, 14 July 2017

Ameanza kaxi atupia goli katika mchezo wake wa kwanza.


Mshambuliaji mpya wa klabu ya Arsenal Alexandre Lacazette ameanza makeke yake uwanjani baada ya hapo jana kutupia goli moja katika ushindi ilioupata klabu ya Arsenal dhidi ya Sydney FC.

Katika mchezo huo ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 2-0 magoli hayo yalitupiwa kimiani na mlinzi wa kati wa klabu hiyo Per Mertesakar na la pili kutupiwa kambani na nyota huyo mpya katika klabu hiyo Alexandre Lacazette.
Video ya goli la Lacazette hii hapa.

No comments:

Post Bottom Ad

Pages